• Latest News

    Tuesday, October 31, 2017

    DOGO JANJA AKANA KUFUNGA NDOA NA MSANII MAARUFU WA FILAM IRENE UWOYA




    Dogo janja alidai ni story tu na hata hawezi akafanya hvo kwani anamuona Irene ni kama Mama yake,na hata baada ya kuulizwa kaka mkuu Madee alisema ni kweli story anazisikia na kwa kuwa dogo janja sasa ni mtu mzima japo ni kawaida kwa watu maarufu wakionekana wakiwa pamoja .
    Madee anasema yeye anafahamu Irene na Dogo Janja ni marafiki tena kwa mda mrefu sasa
    Kumekuwa na meneno katika mitandao hata mengine kudaiwa kuandikwa na Irene uwoya menyewe kuwa “Nimeolewa na mwanaume wa ndoto zangu, bado naendelea kulia na kutokwa na machozi ya kwa furaha"
    Hapo msema wazi huyo mwanaume ni nani 



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DOGO JANJA AKANA KUFUNGA NDOA NA MSANII MAARUFU WA FILAM IRENE UWOYA Rating: 5 Reviewed By: Mr Mtinangi
    Scroll to Top