• Latest News

    Saturday, November 4, 2017

    BAADA YA KUTOKA SAWE NA SINGIDA UNITED MURO ATABIRI NAFASI YA YANGA MWISHO WA LIGI




    Jeri Muro anadai kwa timu kubwa kama yanga ambayo kila mwaka wanafikiria tu ubingwa ni lazima wajue namna ya kutafuta matokeo kwa maana ya points.
    Anasema tumewaona makocha wa ligi kubwa dunia wanaweza kupata matokeo katika mechi kubwa
    Ni ngumu sana kushinda kila mechi lakini pia ni vigumu sana kupata point kila mechi.
    Yanga wamecheza vizuri na wamestahili kupata point katika mchezo wao wa leo mkoani singida

    Na nafikiri mwisho wa ligi kombe litakuwa jangwani japo najua watani ni wagumu kuelewa maana hawajui kusoma nyakati. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BAADA YA KUTOKA SAWE NA SINGIDA UNITED MURO ATABIRI NAFASI YA YANGA MWISHO WA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mr Mtinangi
    Scroll to Top