FULL
TIME SGD UTD 0-0 YNG
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom umemalizika kwa bingwa mtetezi Yanga kugawana point moja na mgeni wa Vpl Singida United huko singida katika uwanja wa Namfua
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom umemalizika kwa bingwa mtetezi Yanga kugawana point moja na mgeni wa Vpl Singida United huko singida katika uwanja wa Namfua
Baada ya miaka 13 ligu kuu ya Vodacom imerudishwa
tena Namfua kama uwanja wa nyumbani kwa timu ya singida yenye makao makuu yake
mkoani hapo,leo 4/11/2017 mechi kati ya yanga vs singida ndo mechi ya kwanza
kuchezwa Namfua baada ya kukosa nafasi hiyo kwa takribani mlongo moja.
Singida united wamecheza vizuri sana na
hata kutengeneza nafasi nyingi zaid ya wapinzani wao Yanga.
0 comments:
Post a Comment