• Latest News

    Sunday, November 5, 2017

    MBEYA WAANDA WACHEZAJI WATANO KUMKABA KICHUYA SOKOINE




    Sokoine hapashikiki Mbeya city yafanya panga pangua kupata watu sahihi kumzuia winga machachari mwenye historia ya kuwafunga watani popote wakutanapo bila kujali ugenini au nyumbani.
    Simba anahitaji ushindi kwa hali yoyote ili kupunguza pengo lilowekwa jana.

    Kipenga kitapulizwa majira ya saa 10 kamili join katika jiji la kijani pale sokoine mbeya
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MBEYA WAANDA WACHEZAJI WATANO KUMKABA KICHUYA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mr Mtinangi
    Scroll to Top